July 13, 2026
ZANAB YAFANYA MAFUNZO YA UFATILIAJI NA TATHMINI KWA WAFANYAKAZI NA VIONGOZI WAKE
Umuhimu wa kufanya ufatiliaji na tathmini umepelekea ZANAB kutoa mafunzo kwa wafanya kazi, viongozi na wadau wengine ili taarifa zikusanywe na kufanyiwa maamuzi kwa wakati.
Mafunzo ya ufatiliaji na tathmini yalifanyika katika ukumbi wa mkuu wa wilaya ya chakechake pemba tarehe 20 hadi 21 mwezi wa sita 2026
Lengo ni kuwa wafanyakazi na viongozi wa ZANAB kuweza kutumia zana ya ufatiliaji na tathmini ili kukusanya taarifa muhimu kwa maamuzi.